JK na Kaka...

Baada ya mechi kati ya timu ya taifa la Tanzania na Brazil, Rais wetu Mh. Dr. Jakaya M. Kikwete alimpatia mchezaji wa kulipwa wa timu ya taifa la Brazil Kaka zawadi ya kinyago. kama inavyoonyeshwa pichani. Wa kwanza kushoto kabisa ni rais wa TFF Nd. Leodgar Tenga. Katika mechi hiyo, Tanzania tulichapwa bao 5 - 1.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...