Basilio Matei, RPC - Arusha


Kwa jina ni Afande Basilio Matei, Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha. penye ukweli lazima pawekwe wazi, hivi karibuni nilikuwa arusha na katika pitapita zangu mitaani, huyo kamanda alipita na gari lake. kina mama niliokuwa nao pale mitaa ya sanawari wakaanza na zao;

"jamani baba huyu ana roho nzuri, mchapakazi, ana utu, mpole na mnyenyekevu utadhani siyo polisi..." mwingine akamalizia; "tena handsome" kisha wakamalizia kwa kicheko maarufu cha heheheeeee... uuuuuuwih! nami nikajikuta natabasamu. Hongera kamanda Matei. mie simo. nawasilisha.
Habari na Picha kutoka JamiiForum.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.