Chakula ya mtoto...

A Lady board a bus carrying her baby,seats next to a man,she starts to breastfeed the baby,

The baby refuses to suckle,she yells at the baby….

.”ebu nyonya ama nimpatie huyu uncle ako hapa”….the kid suckles for a while then stops,

Mum yells again……”nimekwambia unyonye ama nimpe uncle??

....This happens about 5 times, and suddenly the man shouts at the lady….

…”MADAM MAKE UP UR MIND COZ NILIKUA NISHUKE 30MIN AGO….!!!

Comments

Subi Nukta said…
Yaani mbavu zangu kwisha kabisa kwa kicheko.
Asante 'kichwangumu' kwa kuikamilisha siku yangu vizuti!
Napenda sana machapisho bloguni mwako!
bongotambarare said…
Karibu sana dada Subi. Nafarijika kusikia kwamba kuna wadau kama wewe mnaopenda machapisho ya humu ndani. Huwa najitahidi kuwaburudisha wadau hasa baada ya saa za kazi. Nafurahi kusikia lengo limetimia, walau kwa kuanzia na wewe. KICHWANGUMU.
bongotambarare said…
pia mnaweza kutembelea bongotambarare.blogspot.com
Subi Nukta said…
Ha! Kichwangumu, mi nimejiandikisha kabisa kupitia RSS, napokea updates kila unapochapisha kitu, ila hii ya BongoTambarare ndiyo sikuwa naifahamu, asante kwa kunifahamisha na wacha niiongeze kwenye list ya blogu pale kwangu.

Halafu unasema tunapenda? Oh, mi kama hili nililichukua kabisa na kulituma kwenye eGroups na kuweka linki ya blogu yako, halafu lile la Kuwaheshimu Wanawake ndilo liligusa watu moyoni kabisa ujumbe ulifika nyumbani. Kama ni heshima basi hukuitoa tu, bali umeipata pia, nami nimekuongezea heshima kwa hilo. Ni wachache sana huthubutu ama kujaribu kuheshimu hivyo inapotokea kwako, basi tunaipokea kwa mikono miwili. Niichapisha pia pale kwangu na kurudisha credits zote kwako!

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.