Beberu wa ukweli...




Nimevutiwa sana na beberu huyu kwa ukubwa wake na hasa pembe zake... wapo wengi sana shambani kwa wazee wangu... kwa anayehitaji ndafu ya ukweli anitafute... KICHWANGUMU.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...