KICHEKESHO...


Mfalme aliwaita w2 kijijini,akasema shujaa atakaeogelea kwenye hili bwawa la mamba nampa bnti yangu,mara akasikia pwaa jamaa kajitosa kaogelea mpaka upande wa pli,mfalme akasema nitakupa binti yangu na mali,jamaa akasema sitaki binti yako wala mali,namtaka mtu aliyenisukuma kwenye bwawa atanitambua leo !!!

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...