ATCL yazindua safari za kutoka Dar kwenda Kilimanjaro na Mwanza leo.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa ATCL, Ndugu Paul Chizi (kati) akikata utepe kuzindua safari za shirika hilo kutoka Dar kwenda Kilimanjaro na Mwanza leo kwa kutumia Boeing 737-500 inayoonekana kwa nyuma.
 
Ndugu Paul Chizi akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa safari hizo leo.
Nd. Paul Chizi akifurahia jambo na Nd. Fadhili Manoni (kushoto) wa TCAA na mdau mwingine wa safari za anga Tanzania (kulia) ambaye jina lake halikupatikana mara moja.
Wasafiri wakiwa safarini.
Salute kutoka Jeshi la Zimamoto.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...