Muwindo mgumu kwa msimu ulioisha!

Baada ya kurudi town bila chochote, nikalazimika kupitiliza mpaka kawe club kuitikia wito wa "nature"
Juu, kasungura kalikopatikana kwenye uwindaji wote!

Chini ni barabara rasmi za porini, nyakati zingine ilitulazimu kuingiza gari machakani!
 
Ndinga iliyotumika....
Alfajiri yake, cheki balance kwenye "clove box" endelea...
Barafu, Vinywaji na Mashine zimejilalia baada ya kukosa kazi, hawaonekani...

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...