Prezidaa kwenye shughuli zake mkoani Arusha na Manyara hivi karibuni

 Juu na chini Mkuu wetu Mh. Dr. Lt. Col. (rtd) Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Nimependa sana alivyopendeza. hapa ni katika ufunguzi wa barabara ya Arusha Minjingu maene ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani Arusha.
 Na hilo pozi pia si mchezo... Mkuu kapendeza...
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mhe Rose Kamili baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji wa Mwakonko Singida Mjini. Ni katika sehemu za majukumu yake kwa raia anaotuongoza. PICHA KWA HISANI YA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hapo umeona katupia shuka ya kimasai, Mkuu kwa swaga!) akifurahia jambo na Mh. Fredrick T. Sumaye kwenye moja ya mikutano ya hadhara mkoani Manyara hivi karibuni PICHA KWA HISANI YA IKULU

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.