Posts

Showing posts from December, 2012

Mr. President Barack Obama

Image
Huyu Prezidaa ananifurahisha sana, ni wa kipekee. Wamarekani wengi watamkumbuka kwa vizazi vingi vijavyo. He has done a lot, in a short time, tena kwa staili ya ki-pekee, hii picha anaonekana akipasha "push-ups" na team inajipa "Big-Up" tayari kwa game. Hii picha inaweza kuwekewa maneno alfu moja na zaidi... he is incredible...

A very special day in our MOTHER earth...

Date: 12th Dec 2012... 12/12/12 ....will never came back!

Japan weather as of today...

Image
Autorec workshop in Japan...

A trip from Tanga to Dar...

Image
  Just after breakfast...  Refilling ready for return trip...   Soko la barabarani Muheza juu na chini, on the way to Segera...

Today's Joke...

Ticha mgeni wa somo la historia wa darasa la saba, aliamua kuwachemsha wanafunzi wake kabla ya kuanza kipindi. Akawauliza,"ni nani aliyemuua Mkwawa"? Wanafunzi kimyaaa! Akaamua kuchagua wa kujibu. Denti wa 1: Sio mimi mwalimu,hakyaMungu. Denti wa 2: Kweli ticha sikumuua mkwawa,hata simfahamu kwanza Denti wa 3: Mwalimu sio mimi,kwanza jana sikuja shule. Mwalimu akaona hapa hana darasa bali kundi la majuha. Akaenda kwa mwalimu mkuu kumwambia. Ticha mkuu akaenda kwa hasira ktk lile darasa na kuuliza lile swali,majibu yakawa yale yale,kila mtu "sio mimi".  Mkuu kuona vile,akamvuta yule mwalimu pembeni na kumuuliza, "una uhakika lakini kwamba huyo muuaji aliyemuua huyo mkwawa yupo humu ndani? Isiwe unanipotezea tu muda. Kama vp tukaite polisi"