RATIBA YA MSIBA WA JOVIN SHUMBUSHO


Hayati Jovin Shumbusho 1963 - 2013 (pichani) 

SIKU
MUDA
TUKIO
MAHALI
WAHUSIKA
08/11/2013
Saa 4:00 asubuhi
Mwili kuchukuliwa toka Hospitali
Hospitali ya Taifa Muhimbili
Kamati husika
08/11/2013
Saa 5:00 asubuhi
Mwili kuwasili nyumbani kwa Jovin
Makongo Mwisho
Kamati + waombolezaji wote
08/11/2013
Saa 5:30 asubuhi
Sala fupi
Makongo Mwisho
Wanajumuiya + waombolezaji wote
08/11/2013
Saa 6:00 mchana
Chakula cha mchana
Makongo Mwisho
Waombolezaji wote
08/11/2013
Saa 7:00 mchana
Msafara wa kuelekea Kanisani

Waombolezaji wote
08/11/2013
Saa 8:00 mchana
Ibada ya Misa Takatifu
Parokia ya Mtakatifu Petro - Oysterbay
Waombolezaji wote
08/11/2013
Saa 10:30 alasiri
Msafara kurejea nyumbani

Waombolezaji wote
08/11/2013
Saa 12:00 magharibi
Mkesha wa sala
Makongo Mwisho
Wanajumuiya + Waombolezaji wote
09/11/2013
Saa 09:00
Msafara wa kuelekea Nyakibanga Kemondo - Bukoba
Makongo Mwisho
Wasafiri wote
10/11/2013

Maombolezo
Nyakibanga Kemondo Bukoba
Waombolezaji wote
11/11/2013
Saa 06:00 mchana
Chakula cha mchana
Nyakibanga Kemondo
Waombolezaji wote
11/11/2013
Saa 08:00 mchana
Ibada ya Misa Takatifu
Nyakibanga Kemondo
Mapadre + Wanajumuiya + Waombolezaji wote
11/11/2013
Saa 10:00 alasiri
Mazishi
Nyakibanga Kemondo
Mapadre + Waombolezaji wote
11/11/2013
Saa 12:00 magharibi
Matanga
Nyakibanga Kemondo
Waombolezaji wote

·  Kutakuwa na vibao elekezi (directive signs) kuanzia kwenye kona ya Makongo Mwisho kuelekea nyumbani kwa kwake.

·   Kwa wale ambao hawatapata muda/wasaa wa kushiriki ibada Kanisani na kutoa heshima zao za mwisho, mwili utakuwepo nyumbani baada ya ibada na wataweza kufanya hivyo.


Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina la Bwana litukuzwe…AMINA

Kwa niaba ya Familia.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.