Misa ya Kumbukumbu: Jovin Shumbusho 6th Nov 2013 - 6th Nov 2014

Jovin Shumbusho 6th Nov 2013 - 6th Nov 2014

Ndugu zangu wapendwa, nawasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai. Tukiwa tunafikia mwaka tangu kuitwa na Bwana kwa mpendwa Mume wangu Jovin, tunawakaribisha katika misa takatifu itakayofanyika tarehe 8 Novemba 2014 saa nne asubuhi katika kanisa katoliki la Makongo Juu. Baada ya misa kutakuwa na chakula cha mchana (lunch) nyumbani Makongo. Karibuni sana tushiriki misa hii takatifu. 

Roho ya milele umpe eeh Bwana na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani. Amen. 

Eva Jovin Shumbusho, Mrs.

Comments

Popular posts from this blog

Killer House / Office Plant.

Taarifa za msiba...

Kenneth Brumley wa texas "marekani"