George Junius Stinny Jr. 14yr old CHILD EXECUTED by racist american GOVERNMENT!
JE WAJUA?
George Junius Stinney, Jr. Ndiye kijana mdogo Mwenye umri wa miaka 14, ndiye aliyehukumiwa kifo kwa kiti cha umeme mwaka 1944 baada ya wasichana wawili wa kizungu , miaka 11- Betty June Binnicker na Miaka 8- Mery Emma Thames kupotea na miili yao kuokotwa kesho yake ikiwa tayari wamekufa na mtu wa mwisho kuonekana akiongea na hawa watoto alikuwa ni huyu kijana mwenye asili ya afrika - George(14).
Kesi hii ilikuwa batili maana mashahidi wa kesi hii walikuwa polisi waliosema George amekiri shitaka(confess) ila hapakuwepo na maandishi(records)yoyote ya kuonyesha kukiri kwake. Polisi wawili na madaktari walioenda eneo la tukio na madaktari kuifanyia miili postmortem. Polisi na madaktari hawa walikuwa wazungu.
Kesi hii ilichukua siku moja , jopo la majaji lilikuwa ni wazungu pekee kwasababu kipindi hicho BLACKS hawakuruhusiwa kupiga kura(right to vote), Goerge alibaki pekee yake bila shahidi kwasababu alikuwa mweusi(black).
Kesi ilichukuwa masaa mawili na kumhukumu George hukumu ya kifo kwa kukaa kiti cha umeme.
Wakati anawekwa kwenye kiti cha umeme ilikuwa ni taabu kidogo kwani George alikuwa na urefu wa sm 155 na uzito usiopungua pounds 90 (40kg) kutokana na umbile lake dogo code ya umeme ilikuwa taabu kutoa umeme.
Hivyo, George akawekewa mfano wa sufuria kichwani na akavikwa mask ya umeme kisha apigwa na shot ya umeme yenye nguvu ya 2400V kutokana na udogo wa kichwa chake mask ilifumuka na kuonesha fuvu lake likiwa wazi, midomo akitokwa na mate na machozi machoni.
Wakapiga shot nyingine George akawa amefariki....baaba ya kufariki mikanda aliyokuwa amefungwa mikononi. Mkono mmoja wa kushoto ulikata mkanda kuashiria alikufa kifo cha kinyama.... RIP George Junius Stinney, Jr (14).
VIDEO HII INAONYESHA MAUAJI YA KUTISHA KWENYE KITI YA George Junius Stinney, Jr. KAMA HUNA ROHO NGUMU USIANGALIE. INAUMIZA NA KUSIKITISHA SANA.
MY TAKE: KWA UFUPI SANA. UKATILI ALIOFANYIWA KIJANA HUYU NA ULIOPO DUNIANI MIAKA YA NYUMA KUTOKANA NA IMANI POTOFU NA MILA POTOFU UNAPASWA KULAANIWA KWA NGUVU ZOTE. MPAKA LEO BADO KUNA UKATILI WA KUTISHA BAADHI YA MAENEO. TUSICHOKE KUWASEMEA WASIO NA UWEZO WA KUJISEMEA. HAKIKA UKISHUHUDIA UKATILI NI VYEMA UKASEMA, UKALAANI NA KUCHUKUA HATUA SAHIHI UTAKAYO WEZA.
NAYALAANI KWA NGUVU ZANGU ZOTE MAUAJI YA KIKATILI NA UONEVU YA George Junius Stinney, Jr. MUNGU BABA MWENYEZI UIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMINA.
George Junius Stinney Jr. (born October 21, 1929, died June 16, 1944) was, at age 14, the youngest person executed in the United States in the 20th century.
The case
Stinney, who was black, was arrested for murdering two white girls, Betty June Binnicker, age 11, and Mary Emma Thames, age 8, in Alcolu, located in Clarendon County, South Carolina, on March 23, 1944.
The girls had disappeared while out riding their bicycle looking for flowers. As they passed the Stinney property, they asked young George Stinney and his sister, Katherine, if they knew where to find “maypops”, a type of flower. When the girls did not return, search parties were organized, with hundreds of volunteers, and their bodies were found the next morning in a ditch filled with muddy water. Both had suffered severe head wounds.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI story from http://ukrbgs.co.uk/
VERY SADDENING STORY... Ubaguzi ni kitu kibaya sana. Kinafunga mianya yote ya haki.
Comments