Face Bongo imezinduliwa rasmi


Habarini za asubuhi wadau. Napenda kuchukua fursa hii kuwahabarisha kuhusu "http://facebongo.com" hii ni website ya mdau mwenzetu (pichani) huko ughaibuni. kuna mambo mengi humo, tembelea ujionee mwenyewe

Comments

Anonymous said…
When did this happen?
Anonymous said…
Huyu jamaa ndio mwenye hii site?
mimi pia nia accout hapo, bomba sana.
http://www.facebongo.com/Juma/
Anonymous said…
New profile
http://www.facebongo.com/profile/Juma

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...