Hii imekaaje wadau?


vipi upo safari unapata habari kwa yule uliyenae (hatujui ni nani umesafiri nae) safarini kwamba, wakati ulipotoka girlfriend wako alikupigia simu na hakukuachia ujumbe wowote (hatujui kama una girlfriend, ila umeoao na watoto wawili). baada ya siku moja ukiwa bado safari unafungua email yako unakuta ujumbe kutoka kwa mkeo kwamba alipata ajali kidogo tuu wakati anapaki pick-up lake alipotoka shopping, na kukusihi huna haja ya ku-hofu. lakini uliporudi safari baada ya wiki unakuta picha hiyo hapo juu.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.