Tafadhalini tembeleeni link hizo!

wadau, katika pita pita yangu kwenye net, nikakutana na stori zifuatazo hapo chini. naomba mzitembelee wenyewe na kufanya maamuzi wenyewe!

ni habari njema kwamba hata ughaibuni wanafahamu na kufuatilia mambo ya bongoland yetu! sikutarajia...

http://www.bungetz.org/nyerere.htm

http://www.bungetz.org/lowassa.htm

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.