Kimbembe cha wastaafu wa EAC leo asubuhi





wastaafu wa jumuiya ya afrika mashariki wakiwa katika harakati za kudai malipo yao leo asubuhi. hapa walizuia magari yasipite eneo la daraja la salenda bridge. ilikuwa bonge la mbinde... lakini hatimaye walikubali kuondoka baada ya mkuu wa mkoa wa dsm, mh abbas kandoro kuongea nao.

habari zaidi baadae...

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...