Msaada kiaina...

KUNA MDAU KAOMBA SANA NIMTOLEE MASWALI YAKE YANAYOMTATIZA... AMEOMBA EMAIL TUBANE... WADAU TUNASUBIRI MAJIBU.

1. Kama hela haioti kwenye miti, kwanini bank zina matawi?
2. Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake?
3. Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa, kwanini bar kuna parking?
4. Kama neno ‘abbreviation’ linamaanisha ufupisho, kwanini lenyewe ni refu hivyo?
5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa 2, kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?

KAZI KWENU...

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.