Ajali ya Mke wa mdau wetu...



Ajali hii ilitokea mkoani dar es salaam maeneo ya kunduchi siku chache zilizopita saa za asubuhi wakati wa pilika za kuwahi kazini. Chanzo cha ajali kinaaminika ni kuchomekewa na dala dala... 'sijui tutawafanyaje madereva wa dala dala, taksi na bajaj...'

POLE SANA MDAU NA MKE WAKO MPENDWA...

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...