Raha jipe mwenyewe...

Na David 'Bob' Mosha
DSM.




KATIKA MAISHA KILA MTU ANA VIPAUMBELE VYAKE... SUALA LA KURIDHIKA HUTEGEMEA UNA KIPAUMBELE GANI... HIVYO BASI, KAMA UNAPENDA GARI ZURI NA UWEZO KIDOG0, NUNUA GARI ZURI NA MOYO URIDHIKE... UNAPOISHI SIO TATIZO, TATIZO NI KURIDHIKA! KAMA UNAPENDA 'SATELITE TELEVISION' NUNUA, FUNGA KWENYE NYUMBA HIYO HIYO UNAYOISHI! KURIDHIKA NDIO TUNACHOHITAJI ZAIDI.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...