Posts

Showing posts from September, 2009

Italian Time...

Tundu Jeusi...

Jessica Cox, Armless Pilot

Image
Armless Jessica Cox browsing... "She's a good pilot. She's rock solid," said Parrish Traweek, 42, the flying instructor at San Manuel's Ray Blair Airport. Parrish Traweek runs PC Aircraft Maintenance and Flight Services and has trained many pilots, some of whom didn't come close to Cox's abilities. "When she came up here driving a car," Traweek recalled, "I knew she'd have no problem flying a plane." Said her plane trainer. Doctors never learned why she was born without arms, but she figured out early on that she didn't want to use prosthetic devices. With one foot manning the controls and the other delicately guiding the steering column, Cox, 25, soared to achieve a Sport Pilot certificate. Her certificate qualifies her to fly a light-sport aircraft to altitudes of 10,000 feet Jessica Cox of Tucson was born without arms, but that has only stopped her from doing one thing: using the word "can't." Jessica Cox, 25,

Jamaa anajuuuuta...

Image
Ukome na usinijue...

Masai na ATM

Na Moses Msuya DSM After opening an account with TPB a Masaai man was shown how to use the ATM, and then he thought why these people have kept my money outside? It is Risky, then he drew all money on the ATM and went inside and deposited at the counter. "Mimi nataka pesa yangu iwe ndani, hii inaweka nje pesa yangu?!! Shee!!!

TFDA: Watanzania msitumie kondom za Hot

Na Shadrack Sagati MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imewashauri watanzania wasitumie kondomu ziitwazo Hot kwa kuwa haijathibitika kuwa ni salama kwa watumiaji. Mamlaka za Kenya na Zambia zimepiga marufuku matumizi ya kondom hizo zinazodaiwa kutokuwa na ubora hivyo kuhatarisha usalama wa wanaozitumia. TFDA imeamua kuanza kuzichunguza kondomu hizo zilizozua hofu kwa watumiaji baada ya kudaiwa kuwa zina matobo na kwamba, wananchi watafahamishwa matokeo ya uchunguzi huo. Hot ni kondomu zinayotengenezwa nchini Uingereza. “Tunawaomba watumiaji wa hizi kondomu waache kwa sasa wasubiri uchunguzi tunaofanya hadi tutakapojiridhisha ubora na usalama wa kondomu hizo,” amesema Afisa Uhusiano wa TFDA Gaudensia Simwanza. Simwanza amesema leo kuwa,TFDA pia imeamua kuchunguza kondomu aina ya Contemto zinazotengenezwa nje ya nchi. Kwa mujibu wa Simwanza, miongoni mwa kondomu zilizoko kwenye aina hiyo ni Rough Rider na Durex. Amesema, bidhaa zote zinazoingiwa nchini huwa zinafanyiwa uchunguzi kuona ubor

Hatari...

Image
Mtoto akiwa amepakizwa kwenye pikipiki ikiwa mwendoni na dogo amelala fofofo... hatari sana hii. Picha kwa hisani ya JamiiForum.

Cocaine: Top Modelling Agency CEO In Ghana Arrested

Image
Accra, 8 September 2009 A renowned Ghanaian model and CEO of EXOPA Modelling Agency, Ibrahim Sima, has been arrested on suspicion of trafficking drugs suspected to be cocaine out of the country. The EXOPA boss was busted on suspicion at the Kotoka International Airport in Accra, on the night of Monday, 7th September 2009. According to security sources at the airport, Sima, who was about to board a Lufthansa flight to Germany, was arrested after a random search was conducted on him. He was first called out from the queue to provide a urine test. Interestingly, try as he did, Sima could not provide the sample, as he claimed he was under too much scrutiny, a situation which caused his bladder not to “function”. PEACEFM's Entertainment Review Producer, Eugene Osafo-Nkansah, who was at the offices of the Airport Police, quoted police sources as saying that the EXOPA Model Agency CEO was then ordered to offload his luggage, where a thorough search revealed a hidden compartment inside th

Masai barefoot technology

By Herman Mpangile Japan Masai barefoot technology is the theory behind the MBT rocker bottom shoe made by MBT Shoes, a Swiss company. The creator of Masai barefoot technology shoes is a Swiss engineer, Karl Muller. Muller suffered from chronic back and knee pain and had resigned himself to living with it for the rest of his life. On a vacation in Southeast Asia in the early 1990s, Muller realized that his back and knee pain had virtually disappeared. In retrospect, he realized that the biggest difference in his life over the previous weeks had been the surface on which he walked every day--soft, springy moss in the paddy fields. On his return to Switzerland, Muller started researching shoe technology and body architecture. In the course of his research, he found references to the Masai tribe in Eastern Africa particularly Tanzania, who have a reputation for walking long distances without rest or fatigue. Once again, he noted that the Masai typically walk barefoot on a soft, springy su

Americans with their economy issue...

This is from an article in the St. Petersburg , FL Times Newspaper on Sunday. The Business Section asked readers for ideas on "How Would You Fix the Economy?" I think this guy nailed it! . President: Please find below my suggestion for fixing America 's economy. Instead of giving billions of dollars to companies that will squander the money on lavish parties and unearned bonuses, use the following plan. You can call it the Patriotic Retirement Plan: There are about 40 million people over 50 in the work force. Pay them $1 million apiece severance for early retirement with the following stipulations: 1) They MUST retire. Forty million job openings - Unemployment fixed. 2) They MUST buy a new American CAR. Forty million cars ordered- Auto Industry fixed. 3) They MUST either buy a house or pay off their mortgage- Housing Crisis 20 fixed. It can't get any easier than that! If more money is needed, have all members of Congress and their constituents pay their taxes... If yo

Mtoto wa Mwaka Mmoja Mwenye Mimba Awashangaza Madaktari China

Image
Madaktari nchini China walipigwa na butwaa baada ya kugundua kuwa mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja ambaye alipelekwa hospitali baada ya tumbo lake kuzidi kuwa kubwa, alikuwa na mimba ya kichanga kingine. Picha za mtoto huyo mwisho wa habari hii. Mtoto Kang Mengru wa nchini China alipelekwa hospitali baada ya wazazi wake kushtushwa na hali ya tumbo lake kuzidi kuwa kubwa siku hadi siku. Baada ya mtoto huyo kufanyiwa ultrasound, madaktari waligundua kuwa mtoto huyo wa kike alikuwa amebeba kitoto kichanga kwenye tumbo lake ambacho kilikuwa kikiendelea kukua. Madaktari wanaamini kuwa mama wa mtoto huyo alikuwa na mimba ya watoto wawili mapacha na pacha mmoja alijitokeza ndani ya tumbo la pacha mwenzake. Hali kama hiyo ya kichanga kuzaliwa ndani ya kichanga kingine ni nadra sana kutokea na humtokea mwanamke mmoja katika wanawake 500,000. Mtoto Kang atafanyiwa upasuaji kukiondoa kichanga hicho tumboni mwake.

Next Generation TV's

Image

Kinywaji cha Red Bull- Cola chapigwa marufuku Tanzania

Image
================================================================================ Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini [TFDA] imepiga marufuku uingizwaji wa kinywaji cha Red Bull-Cola nchini ikieleza kuwa hatari kwa afya za binadamu kwa kuwa ina asili ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine. Taarifa hiyo ilitolewa jana na Afisa Uhusiano wa Mamlaka hiyo, Gaudensia Simwanza ofisini kwake jana. Amesema mamlaka hiyo kwa sasa inaendesha msako mkali nchini kubaini watu wanaoagiza kinywaji hicho ambacho kimeshakatazwa kuingia nchini kwa sababu hizo. Alisema Mei mwaka huu walipata taarifa kwamba kinywaji hicho ni hatari na moja kwa moja mamlaka ilianza kujipanga kukidhibiti kuingia nchini. Simwanza aliwataka wananchi kuwa makini na kinywaji hicho mana wanatangaza kupitia vyombo vya habari ili wapate kuelewa, na watoe taarifa pindi wanapokuta kuna mahala wanauza kinywaji hicho hatarishi ya afya. Pia alisema na kufafanua kuwa kinywaji cha Red Bull (original sio Redbull cola) kinachouzwa Tanzania hakina

CHAKULA CHA USIKU: Wahanga sasa ni wanawake! - Mwambie, usione haya

Zamani ilikuwa ni wanaume waliokuwa wakilalamika, kwamba wake zao hawataki kuwapa chakula cha usiku kama wanavyotaka. Lakini baadae yaani siku hizi ni zamu ya wanawake kulalamika. Katika nyumba nyingi siku hizi hasa mijini wanawake ndio wanolalamika zaidi kukosa chakula cha usiku kama wanavyotaka kutoka kwa waume zao. Kwa nini hali hii? Ukweli ni kwamba maisha yamebadilika sana na kila mtu anajitahidi sana kutaka kuhahakisha kwamba anafanya kazi hadi anaishiwa nguvu kabisa, akili na mwili vinachoka. Wanaume wengi wanaolalamikiwa na wake zao kuhusu kupata uhaba wa chakula cha usiku ni wale wanaofanya kazi sana. Ningependa kuwashauri wanaume kwamba wakati wanafanya kazi zao mchana wakumbuke kwamba kuna wake zao wapendwa ambao wanawasubiri jioni kuzungumza nao na zaidi ya hapo. Wakumbuke hawajaoa kazi bali wameoa wake. Pamoja na kwamba ni muhimu kwao kufanya kazi, lakini wakumbuke kwamba kazi hazina mwisho. Kuna jambo ambalo wanaume na hata wanawake hawalijui vizuri, hili ni lile linalohu

Barack Obama BBQ on the White House Lawn!

Image
Barack hosted a bbq on the south lawn of the white house for college guys from local schools to highlight the importance of fatherhood & mentorship to their communities. This was on June 10th, 2009 to mark Father's day....gotta love him!!!!! I bet this the 1st time anybody ever bbq'd on da white house lawn!!!!! congrats Barack!

Application For Employment...

To: The Personnel manager RE: Replacement of the dead manager I refer to the recent death of the manager at your company and wish to apply for the replacement of the dead manager. Each time I apply for employment I am told there is no vacancy but on this one I even attended the funeral and all burial process and made sure that I hear from you who will take up the position... All I can remember is you saying that he will be difficult to replace meaning there is no one at the moment. Its sad that he has left us but at least I benefit as he has left a vacancy for me. I only hope there will be no corruption as we are all still mourning. He was my neighbor and it will be easy for me to continue with his legacy because I was seeing the time he was coming for work and knocking off. I will be sending my pictures whilst attending the funeral and burial so that you can see how tough I was and can be when employed. Thanks for advertising the funeral because I could not have known. Yours

WHAT IS POLITICS? hahahahahaaa

Na Mwandishi wetu, DSM A little boy goes to his dad and asked, “what is politics?” Dad says, “well son, let me try to explain it this way: I’m the bread winner of the family, so let’s call me CAPITALISM. Your mum, she’s the administrator of the money, so we’ll call her the GOVERNMENT. We are here to take care of your needs, so we’ll call you the PEOPLE. The nanny, we’ll consider her the WORKING CLASS. And your baby brother, we’ll call him the FUTURE. Now, think about that and see if that makes sense.” So the little boy goes off to bed thinking about what dad had said. Later that night he hears his baby brother crying, so he gets up to check on him. He finds that the baby has severely soiled his diaper. So the little boy goes to his parents’ room and finds his mother sound asleep. Not wanting to wake her, he goes to the nanny’s room. Finding the door locked he peaks in the keyhole and sees his father in bed with the nanny. He gives up and goes back to bed. The next morning, the little b

Wachawi wanachomwa LIVE!!!

KATIKA MAZINGIRA KAMA HAYA, UNAMCHOMA MWENZAKO KAMA KUKU, USHAHIDI HUNA... HATA KAMA UNA USHAHIDI, ZIPO TARATIBU ZINAZOKUBALIKA KIKATIBA NA KISHERIA ZA KUSHUGHULIKIA WATU WOTE WANAOKIUKA UTARATIBU TULIOJIWEKEA KUISHI KATIKA JAMII YETU. NI KUWAFUNGULIA MASHITAKA NA MAHAKAMA ITOE HUKUMU. INAWEZEKANA KABISA MTU AKACHOMWA KWA TUHUMA ZA UCHAWI, NA ASIWE MCHAWI. TUMEONA BIBI WAZEE WAKISINGIZIWA UCHAWI KWA RANGI YA MACHO YAO, WAKATI SABABU ZA UKWELI NI MAZINGIRA WANAYOISHI YA KUTUMIA JIKO LA KUNI NA KUPULIZA MOTO MIAKA NENDA RUDI TANGU USICHANA MPAKA UZEE. LEO UNAMCHOMA MOTO AU KUMKATA NA MAPANGA ETI MACHO MEKUNDU, HIVYO MCHAWI. HAWA BIBI ZETU NDIO HAWA HAWA WALIOTAABIKA KUTULEA, AU KUWALEA WALITUTANGULIA. UTARATIBU WA KUHESHIMIANA NA KUVUMILIANA UMEKWENDA WAPI WATANZANIA WENZANGU? JAMANI, TUNAMWOGOPA MUNGU KWELI... HEBU TUTAFAKARI NA KUJITAFAKARI KWA KINA. IMENIUMA SANA. TUJITAHIDI TUSIBURUZWE NA WACHACHE KWENYE MAAMUZI MAGUMU YATAKAYOTUFANYA KUJUTA SANA. TURUDISHE UVUMILIVU WETU NA KUHESHIM