HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...

Bwana Harusi Moses Mudonko na Mkewe wakipongezwa na Joe Mnzavas siku ya harusi yao. Harusi hii ilifungwa kanisa katoliki na baadae kwenye tafrija ya kukata na greda pale Belinda Beach Hotel.
Yasini Kilima (Mwenye shati la batiki), akifuatiwa na Nehemia Mwenisongole na wageni waalikwa wengine kumpongeza bwana harusi Moses Mudonko na mkewe.
Maharusi pamoja na wapambe wao wakipongezwa na wadau mbali mbali pamoja na wake zao, kasoro Nassoro Siriwa ( wa kwanza kushoto, mwenye shati jeupe na tai) na almaarufu braza Carlos (wa kwanza kulia mwenye suti ya nguvu ya rangi ta brauni nyepesi) wadau hawa sijui kwanini hawakutokea na wapendwa wao?

BLOGU HII KWA NIABA YA WADAU WAKE NA MIMI MWENYEWE NAWAPA MAHARUSI PONGEZI ZA NGUVU NA KUWAOMBEA KWA MUNGU, AWABARIKI NA WABARIKIWE SANA. HONGERENI SANA. KICHWANGUMU.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.