Pete za ndoa...

Wadau, je ni lazima au kuna umuhimu pete za ndoa kuwa za dhahabu pekee? Nauliza wakuu... maana hata za fedha (silver) au shaba (bronze) zinapendeza pia kama tuonavyo pichani... nakaribisha mjadala.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...