Uu Mrembo Sana...Simama Tukupige Picha!




Haya ni maisha ya kawaida huko mpakani mwa sudan na Ethiopia. Hakuna anayeshangaa kitu hapo…! Huruhusiwi kumgusa binti mpaka uripoti kwenye boma la familia yao na kupata Baraka za ukoo!

Habari na Picha kwa hisani ya JamiiForum.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...