Kweli tumetoka mbali...

wadau mnakumbuka enzi hizi? hapo umechelewa shule, umekosa namba, mwalimu wa zamu amekomaa... ikitokea bahati mwalimu wa zamu ni mshirika wako na somo lake unafumua kinoma, hapo hukai!!! kweli historia muhimu... "utajifunzaje????"

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...