Tajiri kanunua Mbuzi...

Tajiri kanunua mbuzi!
Akamwambia mpishi!
Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye friza!
Kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi chukuchuku!
Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pika na ndizi!
Na mifupa tutawauzia wenye mbwa!
 
Mpishi akamuliza:
“Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako?”

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...