Happy Birthday Young Bro...

Leo dogo langu lina-sherehekea siku yake ya kuzaliwa, Happy Birthday David Mosha.... hapa akiwa mzigoni. Mwenyewe hapendi mwajiri wake atajwe... tunamweka kapuni.
Madai yake huo ni uzi wake...

Hapa akiwa kwenye moja ya kazi zake za nje ya ofisi kuongeza kipato... dogo anapigisha muziki "dj"

Comments

mselia said…
thanks bro... u real make me happy i real do say thanks love u always
bongotambarare said…
UNAKARIBISHWA.... WEWE NA WENGINEO WOTE.
bongotambarare said…
UNAKARIBISHWA.... WEWE NA WENGINEO WOTE.
Anonymous said…
hongera David Mosha..duh niliikosa hiyo...

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...