Ndoa za watu zinavunjika sana tegeta

Na Mwandishi wetu, Tegeta.
utafiti uliofanywa ndoa za watu zinavunjika sana na hata wafanyakzi wengine kupoteza pesa zao kwa utapeli uliyojitokeza tegeta kwa ndevu stand kuna kamali inayochezwa kwa mfumo wa kuwaibia wakina mama na watu wenye upeo mdogo wa kutafakari kuwa inawezekana vipi pikipiki kuinunua kwa shilingi 200? Au music system kuinunua kwa sh 500 huo mchezo uchezeshwa pale tegeta stand na wale watu wanakuwa na watu wao wenye pesa walio waandaa vyema wakicheza wao ufanikiwa kushinda bahati na sibu hiyo lakini akicheza mwingine ambaye siye wao huyo huliwa pesa zake hasa wakina mama wanaokwenda sokoni kujipatia mahitaji yao ya kila siku na ikitokea amerudi nyumbani bila mboga baba ianzishha balaa lingine kwa kuvunja uhusiano kwa hiyo tunaiomba serikali kulichunguza hili au wahusika kutusaidia kuwaondoa matapeli pale tegeta

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.