wajuzi mtujuze...

wajuzi na mliokuwepo eneo la tukio siku husika, mtupatie maelezo ya picha hii...

Comments

Anonymous said…
kwa haraka haraka, hawa ni wafanyakazi wa shirika moja. Pia, ni wapenzi au ndio wapo kwenye mchakato wa kukubaliana. Pia, yawezekana wanataniana tuu...
jackie moshi said…
Mmmh! kwa mtazamo wa harak haraka ni wapenzi
Anonymous said…
Dave, Dave, Dave naona kachupa ka ndovu kwa chini hapo halafu punguza naona hako kafriji katakupa presha

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...