Utongozaji na nyakati zetu...

 Huu ni utongozaji wa kileo... hapa kinachofuatia ni kubadilishana namba za vilonga longa, kama kilonga longa kina zengwe kwenye kupokea na mida hasa ukizingatia mizee mingine inapokea simu za wake zao, then wanapeana email au "ku-add a friend" kwenye sura kitabu. Hayo ndio maendeleo na changamoto zake!
hii ni staili ya nyuma kidogo, hapo unategea mtoto akienda kuchota maji basi unajieleeezaa! ooh, mimi silali nakuota wewe, mara nikinywa maji nakuona kwenye glasi. Hapo hakuna vilonga longa wala sura kitabu. Lazima umpatafute na umpate mtu "physically"

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...