Habari Nyepesi Nyepesi... Kujivua Gamba!

Tumezipata muda mfupi uliopita... Mbunge wa Igunga Nd. Rostam Aziz amejiuzulu ubunge, Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na kurudisha kadi ya Chama... hotuba yake ya kujivua gamba aliisoma mbele ya wazee wa mkoa wa Tabora, leo!

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...