Binti wa kipemba... Comments Please!

Na Mwandishi wetu, JamiiForum

Mh!!! Pemba nitarudi aiseeeee!!!!

Habari wana JF?

Mwenzenu nilikuwa
Pemba nimerudi jana, nilipokuwa huko katika taasisi ile ile ninayofanyia kazi nilitokea kupendana na binti wa Kipemba!! Binti anajua kupenda jamani (Mapenzi in General), nimewatofautisha kabisa na wa bara!!!

Ni msomi lakini myenyekevu, mtiifu, msikivu na muelewa achilia mbali asili yake ya Kiarabu aliyonayo iliyoongeza nakshi za urembo wake! Kiukweli kwa maisha ya ndani niliyoishi naye kwa kipindi cha wiki tatu ni tofauti na let say Wachaga au Wanyakyusa ambao lugha za command ni nyingi kiasi kwamba na mie nimejigundua kuwa nilikuwa naendana na mazingira yao (nakuwa mkali pia)!


Mfano: Nilipokuwa na huyu Mpemba nimejikuta nakuwa Mpole isivyo kawaida hivyo nimejigundua nikikaa na binti asiye na lugha za kuplease nami nakuwa hivyo hivyo!!


Kwa anayejua matatizo ya hawa watu ayashushe hapa jamvini coz nimekaa nao kwa muda mfupi sana kuwajua vyema ningumu but nililokuwa nasikia kwamba ni wavivu
hilo si kweli kwa kuona mimi mwenyewe! Lengo ni kuwa na watu unaowafahamu zaidi kuliko kukurupuka!

Maoni yenu wana JF kabla sijaamua kuvuka tena bahari nikiwa na washenga!!!

SOURCE: JamiiForum

Comments

Anonymous said…
mi nakushauri uvuke tena na washenga halafu muingize ndani ndo utamjua zaidi......"!!!!unapokaa ndani na mtu ndo utamuelewa vizuri kabla ya hapo kila mtu anakuwa mpole,mnyenyekevu,msikivu,n.k

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.