Zuma's daughter, Sambudla Wedding...








  
I love the rings! They are really cute! saa, bangili... wametokea!

Na ile tatoo ya bibi harusi pale mgongoni kiboko! Imedemostrate kwamba kweli yule mtoto anapenda Afrika sio kama wengine wameweka tatoo zenye nembo za kizungu

Kuhusu huyo mzee,  mimi naona waandishi wa picha wameamua kutoa zile zinazomhusu tu.  Pale alipokuwa anampleka binti yake kabla hajafunua shela kanisani akiwa kwenye kigari cha utamaduni wameketi ndio paliponiacha hoi.  Sisi huku baba anakuja kivyake mnakutana hapo kwenye mlango wa kanisa anakupeleka alter, anakukabidhi imetoka hiyo,  utamwona tena karibu kidogo na wewe wakati anakupa zawadi.   Hapa mzee kaamua kutoa company toka nyumbani.   Babu kacheza mara ya mwisho (probably),  na mtoto wake kwenye dancing floor kabla hajamilikiwa totaly na huyo mshkaji ambaye naona kwa mangoma naye hajachacha...
 
Nikiangalia pale reception,  maharusi waliketi katikati ya wazazi wa pande mbili lakini wazazi wengine wamekatwa kaonyeshwa Zuma peke yake sijui kwanini? Au ndio huo upresida?




Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.