Siasa bana... "it's a dirty game!"

Siasa noma sana. Pichani kushoto ni picha inayomwonyesha raisi wa Marekani Nd. Barack Obama akishughulikia kimbunga "irene" baada ya kuahirisha shughuli zake! Hii ni kweli? au ni kutaka kupata "sympathy" ya wananchi wa amerika? to date i don't understand politics and politicians. mainly because of there decisions... wanasia wanaweza kuamua kitu utafikiri hawakusoma!

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...