Mh. Rais Jakaya M. Kikwete

Mkuu wetu wa kaya akiagwa na mhudumu wa hoteli aliyofikia wakati akiwa na ziara ya kikazi nchini marekani hivi karibuni. Kushoto ni Mh. Bernard Membe (Waziri wa mambo ya nje) na nyuma ya mhudumu ni wasaidizi wa Mh. Jakaya M. Kikwete. Zaidi ya maelezo hayo niliyotoa, unaweza kupata maelezo gani ya ziada? Nasubiri maoni. 

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...