Akili M-Badala...

 Kama ni daraja bovu, basi una-adjust kwa muda...
 kama ni swimming pool, pia tuna-adjust kimtindo... unacheka nini sasa?
 unampenda sana dogi wako na hana nafasi kwenye gari... tuna-adjust... kama kawa!
 kausingizi ka mchana baada ya wali harage na maji kubwa... tuna-adjust kwa muda!
 bomba nalo likileta zengwe... tuna-adjust!
mkono unachoka kushika kipanya... tuna-adjust... sasa tufanyaje?
kama hakuna jeki na tairi lazima itoke, tuna-adjust kipande cha mti na maisha mswano!

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...