Bandari Salama enzi za mwalimu

 Wadau hebu mtuambie hii ilikuwa wapi? maana hako kamsitu ka mti na majani kushoto kwa picha hii naamini kabisa katakuwa kamebadilika kabisa ... ama hapo penyewe, ama majengo ya jirani! Panataka kufanana na kituo cha basi mnazi mmoja kutokea "Clock Tower" hivi...

 Samora avenue na Azikiwe Street. Kipindi hicho bado "pollution" ya sementi haija-changanya...

 Usafiri wetu UDA... umeadimika sana siku hizi!

 Kama naiona Azania Front kwa mbaaliii! au???

Pijo ikiwa barabarani. Kuna baadhi ya maeneo ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, hizi gari bado zinapiga kazi kama kawa...

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.