Matukio ya Harusi ya Erasmus a.k.a Mkwai na Sophia...

Hapa ilikuwa Send-Off ya Sophia Mkwawa baada ya kukata keki na mpambe wake.


 Bibi harusi mtarajiwa akilisakata kwaito na wadau mbali mbali juu na chini...
 Hapa ni siku ya harusi yoa wakipata maakuli...

 Bwana Erasmus a.k.a Mkwai akipata mlo na mkewe kwa mara ya kwanza kama mke na mume
 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Bw. Cenan Maangiri akiongea machache wakati wa shughuli hiyo.
 Bwana harusi Erasmus a.k.a Mkwai wa Lamosai siku ya kuvunja kamati...
 Nyama choma zilizoandaliwa juu na chini...

 pilika pilika za vunja kamati... misosi ikiandaliwa...
 wadau mbali mbali wakijadiliana mambo...

 Baba wa Erasmus Lamosai, Mzee Augustine Sirilli Lamosai (kushoto) akiwa na kaka yake Mzee Cosmas Sirilli Lamosai wakifurahia jambo katika vunja kamati hiyo...

Matukio yaliyofurahisha...
 Siku ya harusi, bestman Julius Lamosai (mwenye mfupa wa jembe la mbuzi) alikomaa na kumaliza mkono mzima wa ndafu ya mbuzi!
Siku ya vunja kamati, mwenyekiti wa iliyokuwa kamati ya maandalizi Nd. Cenan Maangiri, alikuwa bize akiwinda digi digi na swala...

Comments

Wadau hamkawii kuanza... oh, anawinda nini? mbona ana iPad mkononi... ndio! huyu jamaa ni PH. Anafanya "Photographic Hunting"!

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.