Today's quote...


"CCM inawapongeza watendaji wakuu wa Wizara ya Nishati na Madini wakiongozwa na Waziri wao Prof. Sospeter Muhongo, Manaibu wake, Massele na Simbachawene na Katibu Mkuu, Maswi kwa uzalendo, ujasiri na umahiri wao mkubwa waliouonyesha kwa muda mfupi waliokaa kwenye wizara hiyo."

By Nape Nnauye, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, akiongelea tukio la hivi karibuni bungeni kuhusu baadhi ya wabunge kupata tuhuma za rushwa zikihusishwa na uongozi uliosimamishwa Tanesco.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...