Uhai wa Chama...

 Katika pita pita yangu kwenye maeneo mbali mbali ya mkoa wa Singida nilikutana na taswira hizi (juu na chini), nilishtuka sana... Uhai wa Chama vipi? Hata bendera inashindikana kuwapatia? Dogo Nape, hebu timiza wajibu wako... ikishindikana kabisa ifanyike hata "harambee" ya kununulia bendera, kupiga rangi ofisi, nk. Hii ni aibu kwa Chama kikubwa na kikongwe...
 Chini ni mgahawa uliopo maeneo ya jirani kabisa na nilipopata taswira za juu. Nawakilisha...

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.