Mazungumzo kati ya mgonjwa na dakitari

Mgonjwa: Naumwa sana.

Doctor: Unaumwa nini?
Mgonjwa:Nimefulia.

Doctor:Umefulia nini?
Mgonjwa:Ramani ya maisha.

Doctor: Mchumba wako nani?
Mgonjwa: Liumba.

Doctor: Timu yako?
Mgonjwa: Arsenal.

Doctor: Kazi?
Mgonjwa: Nilikuwa Afisa GTV.

Doctor: Baada ya hapo?
Mgonjwa: Nikawa Afisa Paradise Hotel.

Doctor: Je akiba unayo?
Mgonjwa: Yote ipo DECI.

Doctor: Unaishi wapi?
Mgonjwa:Mbagala.

Doctor: Subiri kufa.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...