Thin Client zinahitajika!!!!



Wadau, dili hilo... kwa mwenye kujua wapi pakuzipata hizi 'thin clients' zinahitajika haraka iwezekanavyo kiasi cha thelathini (30). kwa mawasiliano tumia email ifuatayo 'crashinc_02@yahoo.com'

MSHINDWE WENYEWE KAZI HIYO

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...