Wachaga na vimobitel...

Inasadikika kuwa kati ya wachaga 10, 8 wanaitumia simu kama ifuatavyo...

1. Huangalia salio mara kwa mara ili mradi aonekane yupo bize na kimob chake.

2. Kila mara hujisikia hamu ya kupiga sim kwa marafiki zake anaowapenda ila huishia
kubip hata kwa namba asizozijua yaani za kujitungia tu.

3. Huangalia salio kila mara anapotaka kubip na hata baada ya kubip huangalia salio
tena ili kuwa na uhakika na closing balance kwenye simu yake.

4. Hungalia salio hata baada ya kupigiwa

5. Mara zote huweka dole gumba sehemu ya kukatia simu hata kama amepigiwa na
hufupisha maelezo na kuwa wa kwanza kuikata simu kama yeye ndio kapiga vile na baada
ya hapo kama kawaida huangalia salio tena..

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.