Nyati ndani ya hifadhi ya Ngorongoro
KWA WALE WAWINDAJI WENZANGU, VIPI UKIKUTANA NA HILI KUFI MAENEO YA KISARAWE. IWE NDO UMEINGIA TUU KWA PORI, KIBALI UNACHO CHA NYATI WAWILI, NDIO KWANZA IJUMAA JIONI JIONI HIVI MIDA YA SAA KUMI, NA WEWE UPO MPAKA JUMAPILI JIONI. WAKATI UNAANDA 'RIFLE' YAKO AINA YA 375 AU 3006, UNALIONA KUFI KAMA HILI LINA-KUKODOLEA MACHO... YAANI MPAKA UDENDA UNANTOKA... DUH!
Comments