Hakikisha kituo chako cha kura mapema...

Wadau, Nimetoka kuingia katika website ya NEC ambapo nimeweka nambari yangu ya mpiga kura na kuweza kupata online status ya wapi kituo changu kinapatikana. Taarifa niliyoipata kwenye web pamoja na email niliyotumiwa ni sahihi kwa asilimia 100. Napendekeza sote tutizame status zetu ili kuepukana na disappointments za dakika za mwisho. Hii itazidi kutupa uhakika wa kupiga kura zetu sahihi siku hiyo ya tarehe 31 Oct 2010.
Link ya kufuata ni hiiā€¦

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...