Tuhamasike tukapige kura.

Kama wazee hawa walithubutu kusimama kwenye msururu mrefu hivi ili wapige kura, itakushinda nini kusimama foleni na kupiga kura! Chondechonde watanzania tukapige kura,mabadiliko yataletwa na kura yako. Katika picha hapo juu wa nne kushoto ni  Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa kwenye foleni ya kupiga kura.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...