Msiba wa Andrew dACHI... updates

Hayati Andrew dACHI a.k.a Dru a.k.a PAPA (pichani, enzi za uhai wake). 
Taarifa iliyopo kwa sasa ni kwamba, Mipango ya kuuleta mwili wake nyumbani kutokea Botswana inaendelea. tunategemea mwili ukifika Dar utapelekwa Lugalo Hospitali na mazishi yatafanyika kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es salaam.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...