Couple of the Month...

 Chunga J Misonge and Hannan Adan  

Comments

ney said…
what is so special kwa hao couples mpaka wawe couples of the month?Hiyo picha haijitoshelezi jaribu kutueleza wadau nasi tujue.usi ignore cmment plse
bongotambarare said…
Jamani wadau wa blogu hii, tuache longo longo. Huoni walivyopendeza? ukiacha kupendeza kwao, Hawa ni wanandoa wapya, wenye matumaini makubwa kwenye maisha yao ya baadae kama Mume na Mke. Tuwape ushirikiano na kuwatakia mafanikio, Mungu awabariki na kuyatimiza malengo yao, amen.

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...