Huwezi amini, amejisaidia haja ndogo barabarani mchana kweupeee!

 kwa mbaaaliiii ndo anaanza...
 anakaribia...
 maandalizi yamekammilika....
anaumwaga!!!!!!!!!!!!!!
Sasa hapa kinachokosekana ni ustaarabu, maadili au ndio tukubali mswahili ngozi ya nanihii! Maana katika mazingira hayo sijui mdau atamlaumu nani. Lakini labda alibanwa sana, maana haja ndogo ikibana ni soo! ila mcharuko wa tumbo  ni noma zaidi, usipime!... DUH!

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...