Mawazo, mawazo...

Ni kweli, kila mtu ana mawazo. Lakini huyu binti katika picha hapo juu amenisononesha sana... hii picha ukiiangalia vizuri ina maelezo mengi, marefu na yenye maudhui mengi sana. Sijui nini kilimsibu, lakini kwa vyovyote vile binti wa umri huo na picha kama hii ni lazima si shwari... IMENIUMA... Tanzania ya leo ina maandalizi gani kwa binti huyu na wenzake wa umri huo... sitaki kuingia kwa undani. Lakini naamini una macho na uwezo wa kufikiri na kutafakari ukilinganisha na yanayoendelea kwenye nchi yetu, Mama Tanzania. Je, unaiona Kesho ya watoto wetu???? Tafakari... Picha nimeipata kwenye blogu ya Mjengwa BOFYA kwa data zaidi.
 Na huyu dogo tunamsaidiaje? Kesho yake ikoje? kiafya? kielimu? na kimaisha kwa jumla? Tafakari...

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.