Mbagala nourmer...

Na Chiku Haidari, DSM. 
 
Wakati watu wanagombania kupanda kwenye basi la Mbagala kama kawaida yao, bibi mmoja alipanda bila shida akapata siti. Baada ya muda konda akamuuliza "bibi unalia nini sasa?" Bibi akajibu "ninalia kwa furaha sababu miaka yote 25 niliyoishi Mbagala sijawahi kupata siti" konda akamshangaa kisha akamwambia "Haya bibi pisha siti ya dereva hiyo"

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...